Kiwalak

Kiwalak ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawalak. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiwalak imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwalak iko katika kundi la Kidani.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search